Matendo 19:33 BHN

33 Kwa vile Wayahudi walimfanya Aleksanda ajitokeze mbele, baadhi ya watu katika ule umati walidhani kuwa ndiye. Basi, Aleksanda aliwaashiria watu kwa mkono akitaka kujitetea mbele ya ule umati wa watu.

Kusoma sura kamili Matendo 19

Mtazamo Matendo 19:33 katika mazingira