Matendo 19:6 BHN

6 Basi, Paulo akawawekea mikono, na Roho Mtakatifu akawashukia, wakaanza kusema lugha ngeni na kutangaza ujumbe wa Mungu.

Kusoma sura kamili Matendo 19

Mtazamo Matendo 19:6 katika mazingira