1 Ile ghasia ya Efeso ilipokwisha tulia Paulo aliwaita pamoja wale waumini, akawatia moyo. Kisha akawaaga, akasafiri kwenda Makedonia.
Kusoma sura kamili Matendo 20
Mtazamo Matendo 20:1 katika mazingira