Matendo 20:13 BHN

13 Sisi tulipanda meli tukatangulia kwenda Aso ambako tungemchukua Paulo. Ndivyo alivyopanga; maana alitaka kufika huko kwa kupitia nchi kavu.

Kusoma sura kamili Matendo 20

Mtazamo Matendo 20:13 katika mazingira