Matendo 20:24 BHN

24 Lakini, siuthamini uhai wangu kuwa kitu sana kwangu mradi tu nikamilishe ule utume wangu na ile kazi aliyonipa Bwana Yesu niifanye, yaani nishuhudie Habari Njema ya neema ya Mungu.

Kusoma sura kamili Matendo 20

Mtazamo Matendo 20:24 katika mazingira