Matendo 20:28 BHN

28 Jihadharini wenyewe; lilindeni lile kundi ambalo Roho Mtakatifu amewaweka nyinyi muwe walezi wake. Lichungeni kanisa la Mungu ambalo amejipatia kwa damu ya Mwanae.

Kusoma sura kamili Matendo 20

Mtazamo Matendo 20:28 katika mazingira