Matendo 20:7 BHN

7 Jumamosi jioni tulikutana ili kumega mkate. Kwa vile Paulo alikuwa amekusudia kuondoka kesho yake, aliwahutubia watu na kuendelea kuongea nao hadi usiku wa manane.

Kusoma sura kamili Matendo 20

Mtazamo Matendo 20:7 katika mazingira