Matendo 21:27 BHN

27 Wakati siku hizo saba zilipokaribia kuisha, Wayahudi waliokuwa wametoka katika mkoa wa Asia walimwona Paulo hekaluni. Basi, wakachochea hasira katika kundi lote la watu, wakamtia nguvuni

Kusoma sura kamili Matendo 21

Mtazamo Matendo 21:27 katika mazingira