Matendo 21:32 BHN

32 Mara, mkuu wa jeshi akawachukua askari na jemadari, akalikabili lile kundi la watu. Nao walipomwona mkuu wa jeshi na askari, wakaacha kumpiga Paulo.

Kusoma sura kamili Matendo 21

Mtazamo Matendo 21:32 katika mazingira