Matendo 21:4 BHN

4 Tulikuta waumini huko, tukakaa pamoja nao kwa muda wa juma moja. Waumini hao wakawa wanaongea kwa nguvu ya Roho, wakamwambia Paulo asiende Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Matendo 21

Mtazamo Matendo 21:4 katika mazingira