Matendo 21:8 BHN

8 Kesho yake tuliondoka tukaenda Kaisarea. Huko tulikwenda nyumbani kwa mhubiri Filipo. Yeye alikuwa mmoja wa wale saba waliochaguliwa kule Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Matendo 21

Mtazamo Matendo 21:8 katika mazingira