Matendo 22:14 BHN

14 Halafu Anania akasema, ‘Mungu wa babu zetu amekuchagua upate kujua matakwa yake na kumwona yule mtumishi wake mwadilifu na kumsikia yeye mwenyewe akiongea.

Kusoma sura kamili Matendo 22

Mtazamo Matendo 22:14 katika mazingira