Matendo 22:19 BHN

19 Nami nikamjibu, ‘Bwana, wao wanajua wazi kwamba mimi ni yule aliyekuwa anapitapita katika masunagogi na kuwatia nguvuni na kuwapiga wale waliokuwa wanakuamini.

Kusoma sura kamili Matendo 22

Mtazamo Matendo 22:19 katika mazingira