Matendo 22:6 BHN

6 “Basi, nilipokuwa njiani karibu na kufika Damasko, yapata saa sita mchana, mwanga mkubwa kutoka mbinguni ulitokea ghafla ukaniangazia pande zote.

Kusoma sura kamili Matendo 22

Mtazamo Matendo 22:6 katika mazingira