Matendo 22:9 BHN

9 Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami.

Kusoma sura kamili Matendo 22

Mtazamo Matendo 22:9 katika mazingira