Matendo 23:10 BHN

10 Mzozo ulizidi kuwa mwingi hata mkuu wa jeshi akaogopa kwamba Paulo angeraruliwa vipandevipande. Kwa hiyo, aliwaamuru askari wake kuingia kati ya lile kundi, wamtoe Paulo na kumrudisha ndani ya ngome.

Kusoma sura kamili Matendo 23

Mtazamo Matendo 23:10 katika mazingira