Matendo 23:16 BHN

16 Lakini mtoto wa ndugu yake Paulo alisikia juu ya mpango huo; hivyo akaenda ndani ya ngome, akamjulisha Paulo juu ya njama hiyo.

Kusoma sura kamili Matendo 23

Mtazamo Matendo 23:16 katika mazingira