Matendo 23:31 BHN

31 Basi, hao askari walimchukua Paulo kama walivyoamriwa; wakampeleka usiku uleule mpaka Antipatri.

Kusoma sura kamili Matendo 23

Mtazamo Matendo 23:31 katika mazingira