Matendo 23:35 BHN

35 akasema, “Nitasikiliza kesi yako baada ya washtaki wako kufika.” Kisha akaamuru Paulo awekwe chini ya ulinzi ndani ya ukumbi wa Herode.

Kusoma sura kamili Matendo 23

Mtazamo Matendo 23:35 katika mazingira