Matendo 23:7 BHN

7 Baada ya kusema hivyo, mzozo mkali ulitokea kati ya Mafarisayo na Masadukayo na mkutano ukagawanyika sehemu mbili.

Kusoma sura kamili Matendo 23

Mtazamo Matendo 23:7 katika mazingira