Matendo 24:10 BHN

10 Basi, mkuu wa mkoa alimwashiria Paulo aseme. Naye Paulo akasema, “Nafurahi kujitetea mbele yako nikijua kwamba umekuwa hakimu wa taifa hili kwa miaka mingi.

Kusoma sura kamili Matendo 24

Mtazamo Matendo 24:10 katika mazingira