12 Wayahudi hawakunikuta nikijadiliana na mtu yeyote. Hawakunikuta nikichochea watu hekaluni, wala katika masunagogi yao, wala mahali pengine popote katika mji huo.
Kusoma sura kamili Matendo 24
Mtazamo Matendo 24:12 katika mazingira