Matendo 24:22 BHN

22 Hapo, Felisi, ambaye mwenyewe alikuwa anaifahamu hiyo njia vizuri, aliahirisha kesi hiyo. Akawaambia, “Nitatoa hukumu juu ya kesi hiyo wakati Lusia, mkuu wa jeshi, atakapokuja hapa.”

Kusoma sura kamili Matendo 24

Mtazamo Matendo 24:22 katika mazingira