5 Tumegundua kwamba mtu huyu ni wa hatari mno. Yeye huanzisha ghasia kati ya Wayahudi kila mahali duniani na pia ni kiongozi wa kile chama cha Wanazareti.
Kusoma sura kamili Matendo 24
Mtazamo Matendo 24:5 katika mazingira