Matendo 26:23 BHN

23 yaani ilimpasa Kristo ateseke na kuwa wa kwanza kufufuka kutoka kwa wafu, ili atangaze kwamba mwanga wa ukombozi unawaangazia sasa watu wote, Wayahudi na pia watu wa mataifa mengine.”

Kusoma sura kamili Matendo 26

Mtazamo Matendo 26:23 katika mazingira