Matendo 26:26 BHN

26 Wewe Mfalme unayafahamu mambo haya, kwa hiyo ninaweza kuongea bila woga mbele yako. Sina mashaka kwamba matukio hayo yanajulikana kwako maana jambo hili halikutendeka mafichoni.

Kusoma sura kamili Matendo 26

Mtazamo Matendo 26:26 katika mazingira