Matendo 26:29 BHN

29 Paulo akamjibu, “Namwomba Mungu kwamba, kwa muda mfupi au mrefu, si wewe tu bali wote wanaonisikia leo wapate kuwa kama nilivyo mimi, lakini bila hii minyororo.”

Kusoma sura kamili Matendo 26

Mtazamo Matendo 26:29 katika mazingira