Matendo 26:32 BHN

32 Naye Agripa akamwambia Festo, “Mtu huyu angeweza kufunguliwa kama asingalikuwa amekata rufani kwa Kaisari.”

Kusoma sura kamili Matendo 26

Mtazamo Matendo 26:32 katika mazingira