Matendo 26:7 BHN

7 Ahadi hiyo ndiyo ileile inayotumainiwa na makabila kumi na mawili ya taifa letu, wakimtumikia Mungu kwa dhati mchana na usiku. Mheshimiwa mfalme, Wayahudi wananishtaki kwa sababu ya tumaini hilo!

Kusoma sura kamili Matendo 26

Mtazamo Matendo 26:7 katika mazingira