39 Kulipokucha, wanamaji hawakuweza kuitambua nchi ile, ila waliona ghuba moja yenye ufuko; wakaamua kutia nanga huko kama ikiwezekana.
Kusoma sura kamili Matendo 27
Mtazamo Matendo 27:39 katika mazingira