Matendo 27:43 BHN

43 Lakini kwa vile yule ofisajeshi alitaka kumwokoa Paulo, aliwazuia wasifanye hivyo. Aliamuru wale waliojua kuogelea waruke kutoka melini na kuogelea hadi pwani,

Kusoma sura kamili Matendo 27

Mtazamo Matendo 27:43 katika mazingira