Matendo 27:9 BHN

9 Muda mrefu ulikuwa umepita, na hata siku ya kufunga ilikuwa imekwisha pita. Sasa ilikuwa hatari sana kusafiri kwa meli. Basi, Paulo aliwapa onyo:

Kusoma sura kamili Matendo 27

Mtazamo Matendo 27:9 katika mazingira