Matendo 28:19 BHN

19 Lakini Wayahudi wengine walipinga jambo hilo, nami nikalazimika kukata rufani kwa Kaisari, ingawa sikuwa na chochote cha kuwashtaki wananchi wenzangu.

Kusoma sura kamili Matendo 28

Mtazamo Matendo 28:19 katika mazingira