Matendo 28:21 BHN

21 Wao wakamwambia, “Sisi hatujapokea barua yoyote kutoka Yudea, wala hakuna ndugu yeyote aliyefika hapa na kutoa habari rasmi au kusema chochote kibaya juu yako.

Kusoma sura kamili Matendo 28

Mtazamo Matendo 28:21 katika mazingira