Matendo 28:25 BHN

25 Basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. Walipokuwa wanakwenda zao, Paulo alisema jambo hili: “Kweli ni sawa yale Roho Mtakatifu aliyowaarifu wazee wenu kwa njia ya nabii Isaya

Kusoma sura kamili Matendo 28

Mtazamo Matendo 28:25 katika mazingira