Matendo 28:3 BHN

3 Paulo aliokota mzigo mdogo wa kuni akawa anazitia motoni. Hapo, kwa sababu ya lile joto la moto, nyoka akatoka katika kuni akamnasa Paulo mkononi na kujishikilia hapo.

Kusoma sura kamili Matendo 28

Mtazamo Matendo 28:3 katika mazingira