Matendo 3:21 BHN

21 Ni lazima yeye abaki huko mbinguni mpaka utakapofika wakati wa kurekebishwa vitu vyote, kama Mungu alivyosema kwa njia ya manabii wake watakatifu wa tangu zamani.

Kusoma sura kamili Matendo 3

Mtazamo Matendo 3:21 katika mazingira