26 Basi, Mungu alimfufua mtumishi wake kwa faida yenu kwanza, akamtuma awaleteeni baraka kwa kumfanya kila mmoja wenu aachane kabisa na maovu yake.”
Kusoma sura kamili Matendo 3
Mtazamo Matendo 3:26 katika mazingira