Matendo 3:6 BHN

6 Kisha Petro akamwambia, “Sina fedha wala dhahabu, lakini kile nilicho nacho nitakupa. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, tembea!”

Kusoma sura kamili Matendo 3

Mtazamo Matendo 3:6 katika mazingira