8 Akaruka, akasimama na kuanza kutembea. Halafu akaingia pamoja nao hekaluni, akitembea na kurukaruka huku akimtukuza Mungu.
Kusoma sura kamili Matendo 3
Mtazamo Matendo 3:8 katika mazingira