23 Mara tu walipoachwa huru, Petro na Yohane walirudi kwa wenzao, wakawaeleza yale waliyoambiwa na makuhani wakuu na wazee.
Kusoma sura kamili Matendo 4
Mtazamo Matendo 4:23 katika mazingira