Matendo 4:25 BHN

25 Ndiwe uliyemfanya mtumishi wako, baba yetu Daudi, aseme kwa nguvu ya Roho Mtakatifu:‘Kwa nini mataifa yameghadhibika?Mbona watu wamefanya mipango ya bure?

Kusoma sura kamili Matendo 4

Mtazamo Matendo 4:25 katika mazingira