Matendo 4:29 BHN

29 Lakini sasa, ee Bwana, angalia vitisho vyao. Utuwezeshe sisi watumishi wako kuhubiri neno lako kwa uhodari.

Kusoma sura kamili Matendo 4

Mtazamo Matendo 4:29 katika mazingira