Matendo 4:4 BHN

4 Lakini wengi kati ya wale waliosikia ujumbe wao waliamini, na idadi ya waumini ikawa imefika karibu wanaume 5,000.

Kusoma sura kamili Matendo 4

Mtazamo Matendo 4:4 katika mazingira