Matendo 4:6 BHN

6 Walikutana pamoja na Anasi kuhani mkuu, Kayafa, Yohane, Aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa kuhani mkuu.

Kusoma sura kamili Matendo 4

Mtazamo Matendo 4:6 katika mazingira