Matendo 5:13 BHN

13 Mtu yeyote mwingine ambaye hakuwa mwaamini hakuthubutu kujiunga nao. Hata hivyo, watu wengine wasiokuwa wa imani hiyo waliwasifu.

Kusoma sura kamili Matendo 5

Mtazamo Matendo 5:13 katika mazingira