Matendo 5:26 BHN

26 Hapo mkuu wa walinzi wa hekalu pamoja na watu wake walikwenda hekaluni, akawaleta. Lakini hawakuwakamata kwa nguvu, maana waliogopa kwamba watu wangewapiga mawe.

Kusoma sura kamili Matendo 5

Mtazamo Matendo 5:26 katika mazingira