Matendo 5:34 BHN

34 Lakini Mfarisayo mmoja aitwaye Gamalieli ambaye alikuwa mwalimu wa sheria na aliyeheshimika sana mbele ya watu wote, alisimama mbele ya lile Baraza, akataka wale mitume watolewe nje kwa muda mfupi.

Kusoma sura kamili Matendo 5

Mtazamo Matendo 5:34 katika mazingira