Matendo 5:41 BHN

41 Basi, mitume wakatoka nje ya lile Baraza wakiwa wamejaa furaha, kwani walistahili kuaibishwa kwa ajili ya jina la Yesu.

Kusoma sura kamili Matendo 5

Mtazamo Matendo 5:41 katika mazingira