Matendo 5:9 BHN

9 Naye Petro akamwambia, “Mbona mmekula njama kumjaribu Roho wa Bwana? Sikiliza! Wale watu waliokwenda kumzika mume wako, sasa wako mlangoni na watakuchukua wewe pia.”

Kusoma sura kamili Matendo 5

Mtazamo Matendo 5:9 katika mazingira